HABARI

‘ Ni Kazi ya Mungu’ Asema Zari Hassan Kuhusu Coronavirus

Zari Hassan  ametoa maoni yake kuhusu virusi vya corona ambavyo vinauhangaisha ulimwengu kwa sasa  .Kulingana naye ,  virusi hivyo ni ishara  ya mwenyezi mungu kutukumbusha kwamba yungali  bosi .


Ameandika ;

Out here thinking of the prayers Lord is receiving lately tho  . That’s the whole point HE needed the world to remember he is GOD. Chinese out here manufacturing robots to replace people…. etc. Yep God is reminding you who is BOSS.Bout to throw ‘The End of Corona Party’ in a few to come. Stay positive & prayed up, it shall be well


Katika posti nyingine aliwataka mashabiki kutopatwa na hofu  na kusema ;

This is not a time to be afraid or move in fear as we await God’s miracle. We never know how strong we are until being strong is the only option we have For those who are suffering from fear, do not be afraid. The energy of fear weakens your immune system and attracts to you the very things you’re afraid. Stay safe, stay focused on what you can control. Stay grateful. Stay aware. Most of all stay strong God still reigns


Zari amekuwa akijitenga eneo salama pamoja na watoto wake watano  na kakake Ting Dis . Mpenzi wake wa zamani Diamond pia yupo chini karantini baada ya maneja wake kupatikana na virusi hivyo vya COVID-19.

About the author

kidevu

Leave a Comment