Header Ads

VIDEO : Nandy Alivyokata Mauno Kwenye Nandy Festival Akiwa Na Ujauzito

 


Ilikuwa ni kiu ya mashabiki wa Nandy kuona ni jinsi gani msanii huyo angetoa burudani baada ya kutangaza kufanya tour ya Nandy Festival akiwa na ujauzito.

Tumekuwekea Video ya Nandy akiwa jukwaani huko Songea,Angalia alivyofanya Show Licha ya kuwa Mjamzito.


#Nandy #Alivyokata #Mauno #Kwenye #Nandy #Festival #Akiwa #Na #Ujauzito

No comments:

ñ.