HABARI

VIDEO : SHOLO MWAMBA: Marioo,Diamond na Harmonize/Wasilete Ushoga /Nina Lebo Yangu

 

Msanii wa Singeli Sholo Mwamba amefunguka kuhusiana na maendeleo ya muziki wa Singeli.

Akiongea na waandishi wa habari Sholo amefunguka mambo mengi ikiwa kama yuko tayari kufanya kazi na wasanii wakubwa kama Diamond au harmonize na kudai kuwa hataki kupangiwa nani wa kufanya nae kazi.

#SHOLO #MWAMBA: #Marioo,#Diamond #na #Harmonize/#Wasilete #Ushoga /#Nina #Lebo #Yangu

About the author

kidevu

Leave a Comment